Idara ya Rasilimali za Watu
Idara ya Rasilimali Watu inashughulikia ajira na masuala ya kisheria ya jimbo hilo. Iko katika Ofisi yetu kuu katika Rungwe na inaongozwa na Mch. Melania Mrema Kyando.Mawasiliano
Kanisa la Moravian Tanzania - Jimbo la Kusini
Idara ya Rasilimali za Watu
S.L.P. 32
Tukuyu
Tanzania
Barua Pepe: melaniamrema@yahoo.com
Simu: +255 763 471533