Kamati ya Utendaji

Kamati ya Utendaji ni uongozi  wa utawala wa jimbo na ina watu watatu, Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu.

Wanachama wa sasa wa kamati ya utendaji ni:


Mch. Yonah K. Mwambeta - Mwenyekiti
Mwenyekiti wa Bodi ya jimbo ni Mtendaji Mkuu wa jimbo.


Mch. Jairi Sengo - Makamu Mwenyekiti

Makamu Mwenyekiti anamkaimu Mwenyekiti asipokuwepo.

Mch. Danford Mwaitele - Katibu Mkuu

Katibu Mkuu anawajibika kuweka, kutunza na kutekeleza maazimio ya Sinodi, bodi ya jimbo na kamati ya utendaji.
Kiswahili